Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na hii draw,natoa shukran zangu za dhati kabisa kwa mourinho kwa jinsi alivyopanga kikosi na tactics za mchezo. Kuwafanya hivi arsenal kwenye form waliyokuwa nayo sio jambo la kitoto. Timu imepata momentum nzuri na fear factor kwa timu pinzani imerudi. Watu wanasema mata haina kilevi,mbona arsenal wanalewa?
 
Pamoja na decision mbovu za refa hii game ilikuwa ya kushinda hata goli 4,tumefanya uzembe mkubwa sana.
 
Wapi yule mtu mwenye maneno ya hovyo,mshabiki wa assnail urbangentleman? Nilimwambia wameanza kuingia kwenye siku zao akabisha,second consecutive draw,bear in mind its end of November
 
Yaani Goobers kwa United sijui uwa mnapagawa nini!! Backline ya Jones na Rojo lakini 1 shot on target?

Kweli sijui huwa tunakuwaje hasa at Old Trafford. Sasa hivi ukichanganya na Mourinho tunakuwa kama Mbwa kwa Chatu.
 
Kweli sijui huwa tunakuwaje hasa at Old Trafford. Sasa hivi ukichanganya na Mourinho tunakuwa kama Mbwa kwa Chatu.
Afadhali wewe unaijua timu yako ikicheza na United kuna wenzio walikuwa wanapiga sana kelele kabla ya mechi,tungekuwa kwenye fomu leo zilikuwa goli za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…