Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_20161112_045430.jpg


kuhusu Ozil ni kweli Mou anamtaka ama tetesi tu za wauza magazeti.
 
“Klopp, he trusted me and gave the chance to play in his team, he made me one of his key men and he worked a lot on my psychological part,” Mkhitaryan told the Armenian FA.
 
Sidhani Kama Kuna Siku Itatokea Ikapangwa First XI Ambayo Kila Mtu Ataifurahia.,Inawezwa Pangwa Ambayo Wengi Wataifurahia, Ila Sio Wote.

Hata Ipangwe Vp.,Lawama Za Nanii Anafanya Nini Humo,Utamuachaje Benchi Nanii Nk Lazima Zitakuwepo.

Haikwepeki.,Ni Kawaida Yetu Mashabiki. Ila Binafsi Nilishaona Haisadii Chochote.,Muhimu Ni Kuangalia Tu Wanaocheza Siku Hiyo Ni Kipi Watakifanya.

Mourinho Kaajiriwa United Lengo Kuu Ikiwa Ni Kuipa Klabu Mafanikio.,So Ana Uhuru Wa Kupanga Anaotaka Na Kutumia Mbinu Anayoamini Italeta Mafanikio,Akichemka Kifuatacho Kinafahamika.

Ni Mapema Sana Kusema Kachemka Au Kazi Imemshinda.,It's Clear Bado Hajapata First XI Ya Kueleweka Na Sitarajii Hilo Kuwezekana Ama Kutokea Kabisa.

Kila Game Na Plan Yake Ambapo Kocha Anahisi Mchezaji Ama Wachezaji Flani Watafaa Kwa Mechi Hiyo.,So First XI Lazima Itakuwa Inabadirika Tu.

Tumpatie Muda Afanye Kazi Yake.,Natambua Kukosa Points Inauma Sana Especially From Big Teams.

Naamini Tutarudi Kwenye Mstari., [HASHTAG]#mufc4life[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom