Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MAFANS WA MAN SOTE NATAKA TUJADIRI KWANINI TEAM YETU INAENDELEA KUFANYA VIBAYA KATIKA MICHUANO MBALIMBALI TATIZO LIKO WAPI NA TUFANYE KITU GANI TUTATUE MATATIZO HAYA YANAYOWAKUMBA TIMU YETU
hatuna world class players
 
f9fcaff52bb8161b43f726063865f422.jpg

huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kumbe Na Nyinyi Huwa Munajifariji Kwa Historia??

Hope Na Mwaka Huu Yatatokea Kama Hayo Ubebe Ubingwa Mbele Ya Chelsea na Man City...
 
f9fcaff52bb8161b43f726063865f422.jpg

huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

This makes no sense at all. Kila mtu anajua bingwa hapatikani October or November. Hizi picha zina uwalakini kibao. Mid season May 2008 na End of Season May 2009 ni misimu miwili tofauti. Aliye-photoshop hizi picha azidi kujifunza art ya photoshop.
 
Ndio unashtuka muda huu
 
Wewe Muangalie tu Anavyojifariji!! Alisahau Kuwa Tarehe 21/April/2009 Liverpool Alidraw na Arsenal 4 - 4 ndiyo Man U akaongoza Ligi.. Lakini Kwenye Photoshoped Yake inasema Mwezi wa May Eti Timu zimecheza Michezo 10...! Sasa Hapo Ligi itamaliza mwezi gani???
 
Wewe Muangalie tu Anavyojifariji!! Alisahau Kuwa January 21/04/2009 Liverpool Alidraw na Arsenal 4 - 4 ndiyo Man U akaongoza Ligi.. Lakini Kwenye Photoshoped Yake inasema Mwezi wa Mei Eti Timu zimecheza Michezo 10...! Sasa Hapo Ligi itamaliza mwezi gani???

Nawasikitikia wapenzi wa Man Utd wanaojua kinachoendelea, wasiojua kinachoendelea wanafanya wapenzi wote wa Manchester Utd waonekane ZERO (Samaki mmoja akioza style).
 
Nasikia maneno yanamtokea puani Mourinho. Alimlaumu Smalling kwa kujifanya mgonjwa sasa Smalling amevunjika atakosekana mwezi mzima .
 
Jamani Natafuta kundi la whatsapp la Manchester United niunganishwe 0654278188

Mkuu unataka kwenda Tanzania umefika Dareslaam bado unatafuta mji mwingine zaidi...!!

Hili ni zaidi ya kundi la Whatsap, yanayopatikana hapa, You will never get somewhere else..!! Kwanini ujichoshe..!!

GGMU GGMU GGMU GGMU
 
Back
Top Bottom