Ila Mou ananiboa sana kumchezesha Pogba namba kumi. Anampa majukumu yasiyo yake Pogba nafasi yake ni namba nane, kumi hawezi hata kidogo.
Kama vp angempumzisha basi nafasi yake acheze Mata, Hivi Mata anakaaje Benchi?.
Anyway kafanya vizuri kumpumzisha Ibra na kumuanzisha Rooney, pia nimefurahi angalau nimemuona Benchi Mikit nadhani atakuwa na dakika chache uwanja. Ni jambo jema pia kumuanzisha Martial angalau akili yake isozoee kukaa Benchi akapoteza kiwango chache.
Am waiting.....!!
GGMU GGMU GGMU GGMU