Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unasema kua bola mzee fargie arudi eeenh



utaendelea kuish kwa waswas mana akirud huyo ni 8 au 6 mi nataka unenepe kidogo sitak arud mana alimuachia moyes bado alikukondesha sasa unaliomba jabali tena
 
Haya tena wadau na leo tena
Teampogba tunasulubu mtu leo
Kumbuka kawapiga 2 hawa leo sijui atawapiga ngapi??ngoja muda ufike tujionee
 
binadamu hatujakamilika jose:jana nilimpigia shwanstiger kwamba ufike mazoezini kwa maandalizi zaidi dunia inamambo
 
Ila Mou ananiboa sana kumchezesha Pogba namba kumi. Anampa majukumu yasiyo yake Pogba nafasi yake ni namba nane, kumi hawezi hata kidogo.

Kama vp angempumzisha basi nafasi yake acheze Mata, Hivi Mata anakaaje Benchi?.

Anyway kafanya vizuri kumpumzisha Ibra na kumuanzisha Rooney, pia nimefurahi angalau nimemuona Benchi Mikit nadhani atakuwa na dakika chache uwanja. Ni jambo jema pia kumuanzisha Martial angalau akili yake isozoee kukaa Benchi akapoteza kiwango chache.

Am waiting.....!!

GGMU GGMU GGMU GGMU
 
Nimekuwa muumini wa Morgan Schneiderlin, ngoja tuone leo ata-offer kitu gani baada ya kupata chance ya kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…