Rashford anacheza kila wiki,tatizo anachezeshwa winga.
Anza kuhesabu kuanzia Hiyo season huu unakata msimu wa nne...(ambao kimsingi hamna matumaini)Labda umesahau, 2013 man utd walikuwa mabingwa wa EPL. Timu yako haijachukua EPL zaidi ya miaka kumi sasa. Kuna watu humu wanapiga kelele lakini mara ya mwisho Arsenal anachukua kombe wengine walikuwa na miaka 10!
Ndio atakuwa anaongoza kwa nafasi moja, so...?Marahii Pia Possibility Kubwa Kwa Man City Kuchukua Ubingwa ipo..
Mshkaji anajua sana... Bado chemistr y ufungaji haiko pouwa ila ikiwa pouwa pale.. Tm itakuwa pouwa saana..Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa
So what? Mwisho mmeambulia point 1. Wakati wale mnaojaribu kujilonganisha nao wanachanja mbuga.Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa
Kabla hujacoment inapaswa ufikirie kwanza je nachoandika kinaendana na posti husika.....So what? Mwisho mmeambulia point 1. Wakati wale mnaojaribu kujilonganisha nao wanachanja mbuga.
Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa
NisubiriMwaka huu umecheza na kigogo Chelsea peke yake, subiri dawa inakujia.
Mkuu mbona majungu hivyo awa ni wakaanga sumu lakini sio kwa majungu hayaNilikuwa Sijui Kama Ubingwa unapatikana Kwa Pasi nyingi na Mashuti Fiza Mengi... Hongera Mkuu Kwa Timu yenu Kupiga pasi Na Mashuti Mengi.. Mwaka huu munatisha... Mashuti 30 bila ya goli!!!! Nyie Wakali... Nawaonea Huruma Wale Wabovu Wenzangu Liverpool, Arsenal na Mancity Kwa Mashuti 7 lakini Magoli 4... Wanapaswa Wajirekebishe Angalau Nawao Wawe Kama Nyie Mashuti 30 bila ya Goli..
😀😀😀
Na wewe umekata msimu wa ngapi?Anza kuhesabu kuanzia Hiyo season huu unakata msimu wa nne...(ambao kimsingi hamna matumaini)
Ilianza 1,2,3,4....hatujui itafika wapi
Cheer man
mzbzdiliko makubwa yalianza kwenye game na stoke city bado ana miaka 23 ana mengi ya kujifunza kaja kwenye timu isisyo na mabahili mwakani ajiandae kuletewa mafundi wengine wafanye kazi ya maana
Rio ferdinand aliongea kwamba kwa sasa manchester united inaanza kuwekeza kwa pogba,martial,rashford na lingard wanataka timu ijingwe kupitia hawa wanahitaji kusajiliwa watu wa maana namuelewa sana rio ferdind pogba ni hazina kubwa sana ya baadae powerfully midfielder.
Nadhani ni mou maana van gaal alimtumia huyuKuuzwa kwa michael keane ni tatizo kocha alieshiriki huu upuuz ni mpuuzi dogo nimemfuatilia game zake ni mgumu sana akikomaa zaid anaelekea kwa ferdinand na terry dogo ana miaka 23 tu
Keep Dreaming with Your False Hope!!
Kuuzwa kwa michael keane ni tatizo kocha alieshiriki huu upuuz ni mpuuzi dogo nimemfuatilia game zake ni mgumu sana akikomaa zaid anaelekea kwa ferdinand na terry dogo ana miaka 23 tu
Nadhani ni mou maana van gaal alimtumia huyu
Nadhani ni mou maana van gaal alimtumia huyu