barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,809
What has happened to Martial wa LVG??Yaan hatana la kujitetea mkuu draw againts Stoke and burnley at OT haikubaliki.
Hatuja funga goali kwenye mechi 3 za mwisho za EPL, hatuja shinda mechi ya EPL toka september. Kati ya mechi saba tumeshinda moja.
Hatuna cha kujifariji hii timu inazingua.
Zilatan ni mbovu sanaMmeshasahau leo? Mlikuwa mnasema vizee vinapokuja huwa vinaisaidia Man United kutwaa ubingwa. Alipokuja Zlatan alisifiwa sana na mlisema huu ni msimu wa ndoo. Ndoo ya Segerea? Walitajwa kama mfano Van persie na Larsson na ujio wao uliopelekea ubingwa wa EPL.
Link Zlatan Ibrahimovic: I could stay at Manchester United for three years or more
Link2. José Mourinho hails Ibrahimovic’s form for Manchester United
Tatizo sio zlatan, tatizo ni EPL. Muulizeni Saldado, falcao, etc!Zilatan ni mbovu sana
Kawaida kaka sio kabila hiyo njoo arsenalShots 37, tunashindwa kufunga hata goli moja!!!
Sidhani kama hata top four tuna stahili kwa mwendo huu.
Ibra naye!!!
Gem imeniuma kama msiba hivi hiii
Sja jua Martial nmeshangaa hayupoWhat has happened to Martial wa LVG??
[emoji38][emoji38][emoji38]maneno ya kejeli sana hayaHongereni sana Manure 1 pointi sio haba na mmejitahidi kupunguza gap la points na wanaongoza ligi hakika naona dalili ya ubingwa kwenu ligi bado mbichi....GGMU.
HahahahaKawaida kaka sio kabila hiyo njoo arsenal
Yataka moyo kurudi hapo ni 20byrs to comeHahahaha
Haiwezekani hiyo acha niendelee kulia na tim yangu
huo ni ujinga wakoSijawahi kwenda jukwaa la timu nyingine. Huoni aibu kujipendekeza?
Angalia mechi ya Liverpool, utasahau hiyo ya Man United.Sijui nifanye nini ili nisahau mechi ya Leo
Yaani leo nimewaza hivo hivoYataka moyo kurudi hapo ni 20byrs to come
Haiwezekani, hamna timu ya epl itakayokuwa dominant tena!Yaani leo nimewaza hivo hivo
Nadhani tunaelekea kwenye u liverpool wa 90s-2000s
Lakini na ule u top 4 utatupotea kabsaHaiwezekani, hamna timu ya epl itakayokuwa dominant tena!
Ngwaba, kwetu wametafuta droo ilhali kwenu wamewanywa 2-0. Umeona tofauti yake?Nilisema Kuwa Hii Comment Nitaiweka Hakiba Wengine Wakaanza Mawenge Yao! Lakini Sasahivi Mutafahamu Nilichokimaanisha..
Come on!!!...... be positive man no negativity at OT !!!!....... umesahau falsafa yetu?Yaani leo nimewaza hivo hivo
Nadhani tunaelekea kwenye u liverpool wa 90s-2000s
Mm nmeamua kulewa tu, hamna kingineSijui nifanye nini ili nisahau mechi ya Leo