Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mtu kakosekana kwenye hii karamu hapa jukwaani....
 
Man u
 



na mafanikio ya manchester united yaliibuka mwaka 92 baada ya kumfunga crystal palace fainali ya FA na msimu huu manchester united ni bingwa mtetez katoka kumfunga cristal palace
 

Guardiola hakuwa na mpango na hii mechi. Tangu jana alikuwa anasema ni mechi ya kawaida. Kutoshinda mechi 6 mfululizo ni juu yake. Usijali tutapangiwa na nyinyi muda si mrefu najua utaongea hivi hivi kabla ya mechi lakini baada ya Arsenal kuwapiga ubaya utakuja na visingizio vya kutopenda mchezaji Fulani kucheza badala ya mchezaji Fulani. Ndivyo wapenzi wa Man Utd mlivyo siku hizi.
 


hawakosag maneno hao company ni kinda aguero ni kinda
 
Scholes anakwambia haamini kama fellain ana kiwango cha kumuweka bench michael carick tumebak na hii injini ya sir alex


nakumbuka enzi za sir alex nahis mashabik wengi wa united hatukuwah kuona umuhimu wa huyu carick hii ni kutokana na uwepo wa wachapa kaz wengi kama mchezaji wa kawida kumbe wap kamfanya had rojo kuwa fiti smalling ana wenge sana
 



hata mourinho
 
Chelsea kuna msemo mmoja unasema kua ukiona mwenzio ananyolewa nywele wewe tia maji
Walitukamia balaa na wakatake advantage ya sie game kutukataa wakatugonga 4 leo sasa chupuchupu zile 4 zirudi
 


Jamaa inaelekea hatosahau hii results last week. Hapa ni katika mechi vs Man City masaa machache yaliyopita. Inaelekea anawakumbusha wachezaji wake juu ya kilichowatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…