Nimekuwekea picha uburudike khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona Moureeen mchungu yatapungua ... .....Khee kheeeeee kheeeee ......Leo humu hatupikiiiiii nenda kule kwa jirani yako kuna ubwabwa.......
Tatizo Mourinho ametengeneza mfumo wa kumfanya Ibra tu ndio afunge,timu inavyocheza ni ngumu wachezaji wengine kufunga magoliIbra anatucost na hizi miss zake!
Kwa hiyo kwako Mkhitarian,Ashley Young ,Sergio Romero ni makinda ?
Leo tumeTakataaaKhee kheeeeee kheeeee ......Leo humu hatupikiiiiii nenda kule kwa jirani yako kuna ubwabwa.......
Hizi dakika 6 zilizobaki nyingi, tusikae nyuma tuu inabidi tuwakimbize kimbize kidogo
Jana Spurs nje leo Chelsea na City.... who is next? maybe wale jamaa waliokuwa Highbury
mie naona bora 9 acheze martial/rashfordTatizo Mourinho ametengeneza mfumo wa kumfanya Ibra tu ndio afunge,timu inavyocheza ni ngumu wachezaji wengine kufunga magoli
Hamkosi sababuHongereni Mike Dean kawapa ushindi. Next round mtaondoka vs Liverpool..
Hongereni Mike Dean kawapa ushindi. Next round mtaondoka vs Liverpool..