UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
ZipiNdio football Hiyo.
Nimekubali matokeo.
Hope tutafanya vizuri mechi zinazofuata
WhenYes we will make it...
Kwani ligi imeisha au?Zipi
Hard time??? Really ??? We don't have those times but challange should come to make us strong.I do babe i really do while unaenjoy ur hard time at OLD TIME
Aiseee toa boriti jichoni mwako kisha niambie nina kibanzi.....usinihurumie mimi jihurumie wewe na Wenger wako.Nakuonea huruma masikini
Dead n goneHard time??? Really ??? We don't have those times but challange should come to make us strong.
Untill we done!!!!When
Nimeua Kwani mpka unipe pole!!!! .....life goes onPole
Hahahhahha jirani midomo imepewa kuongea,kuhusu kubaki jina basi nyie mwaongoza, jirani kwa upande wa kuongea aisee hatuwashindi nyie mwaongoza ndo maana yakiwazidi kitanzi kinakuwa solution kwenu....Spend the money wisely,simply glory time is over mmebaki jina ukiangalia hakuna jipya nilisema na narudia tena Mourinho atatupa furaha sana msimu kama alivyo tufurahisha msimu uliopita.
Nawakumbusheni tu jana mmegongeka 4-0 pale darajani na mlizibwa matundu yote ya kutolea hewa next tym kuweni na nidhamu alafu kelele za kua eti ni mechi ya 9 hatutaki maana mliongea sana game 3 za mwanzo......Man 4ngo.
Hahahhahha jirani midomo imepewa kuongea,kuhusu kubaki jina basi nyie mwaongoza, jirani kwa upande wa kuongea aisee hatuwashindi nyie mwaongoza ndo maana yakiwazidi kitanzi kinakuwa solution kwenu....
Shindwa na ulegeeee hatuna kansa siye...!!!!...... jirani unajua kujenga ni kazi kuliko kubomoa ,tupo tunajitahidi kujenga tutoke tulipo sasa jirani yangu ulitaka tuendelee kugalagala tu kwenye matope tu na kulia ilihali hatuna juhudi zozote za kujitoa ?. .....mtafutaji hachoki ,Wacha tu tubadilishe... tunatafuta tunachokipata tutafanikiwa tu.Tatizo lako jirani ni kua hautaki kukubali kua Fergie kaondoka na identity yenu bado unaamini wewe ni giant sana bado unajifariji kua kukosa kwako UCL ni bahati mbaya tu kumbe ni uhalisia kua haustahili kuwepo na njia unayoitumia kujipanga ndio mbovu zaidi after babu mmeajiri waalimu watatu ambao hakuna jipya so far ni wale wale na tumeanza kufanana nna uhakika j5 utapata matokeo chanya utakuja hapa kwa vurugu sana kua mmerudi mnasahau kua mna kansa.
Poleni sn wandungu.....
Timu yenu bado inahitaji watu kadhaa hasa wenye uzoefu mkubwa Wa kuweza kuwaongoza wenzake uwanjani.
Carrick, Rooney hawa bado wanahitajika sn. Lkn wakiwaacha hawa hawa vikaragosi basi inahitajika nguvu ya ziada sn......
Ni hayo tu kwa Leo wadau wangu Wa nguvu.
Cc: Nzi everlenk RRONDO herrera and my cute b and all ManU fans......
One love wakuu...
In Jose Mourinho we still trust....
Watanyamaza tu muda ukifikaNdio football Hiyo.
Nimekubali matokeo.
Hope tutafanya vizuri mechi zinazofuata
Ustaarab costs 0$ buda, hii ni sport tuu. Man Up!wake zetu" jana tumewaingilia kinyume na maumbile ...........
Kumbe na wewe ni Man 4ng-0?
Nimezidi kufurahi maradufu.
Napenda sana ukisikita