Hongera kwa ushindi, kiroho safi lakin.Poleni sn wandungu.....
Timu yenu bado inahitaji watu kadhaa hasa wenye uzoefu mkubwa Wa kuweza kuwaongoza wenzake uwanjani.
Carrick, Rooney hawa bado wanahitajika sn. Lkn wakiwaacha hawa hawa vikaragosi basi inahitajika nguvu ya ziada sn......
Ni hayo tu kwa Leo wadau wangu Wa nguvu.
Cc: Nzi everlenk RRONDO herrera and my cute b and all ManU fans......
One love wakuu...
In Jose Mourinho we still
Ahahahahhaaaa bora umemwambia ukweli.Pole kiongozi, lakini naamini Mouronho atakuangusha mara nyingi sana...[emoji12]
Pole, mtu akifingwa huja na kila aina ya maneno swithrt...pole sana swthrt[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kupata au kukosa yote ni matokeo.....Leo tulishindwa .... lakini maisha bado yanaendelea na yanapaswa kuendelea..... Glory Glory Manchester United.
Sawa kiongozi, lakini lazima atawaangukia wakongwe. When things go wrong, the old could turn gold!!Herrera deserves to be in the 1st eleven for every match in the league and Europa. It is Fellaini who should be benched for Bastian or Michael..
Hongera sana
Wewe wasema sisi ndiye!! .... BTW enjoy your good time here at OT.Wanasema ukitaka kujua mama yako hajui kupika au anajua nenda kale kwa jirani yako
Sasa mtakua mmejua kua nyinyi ni vibonde
Asante sana nishapoa tunaanza kwa upya na New week..... [emoji3] [emoji3] [emoji3] dhambi[emoji15] [emoji15] ?.....anyway muda wake uliisha....mtafutaji hachoki.Pore, mwaya pole. Maumivu ni haki, kulia ni haki na kutokwa na machozi ni haki.
Dhambi ya kumfukuza LVG wakati alianza kujenga kikosi poa inaanza kuiadhibu Man. disunited.
Ndio football Hiyo.Wewe wasema sisi ndiye!! .... BTW enjoy your good time here at OT.
Yes we will make it...Ndio football Hiyo.
Nimekubali matokeo.
Hope tutafanya vizuri mechi zinazofuata
I do babe i really do while unaenjoy ur hard time at OLD TIMEWewe wasema sisi ndiye!! .... BTW enjoy your good time here at OT.
Nakuonea huruma masikiniAsante sana nishapoa tunaanza kwa upya na New week..... [emoji3] [emoji3] [emoji3] dhambi[emoji15] [emoji15] ?.....anyway muda wake uliisha....mtafutaji hachoki.