Kipindi tuko na Larsson Fergie alimtumia vizuri sana lakini Mourinho kumfanya Ibra striker tegemezi si sawa. Mtu ana 35yrs kucheza 90minutes as lone striker sio kazi ndogo.
Leo alikuwa anakabwa na three chelsea centre backs atafanya nini? Ingawa three goals leo zilikiwa individual school boy mistakes bado namlaumu Mourinho na upangaji wake wa timu.
Game na man city alikosea kupanga timu tukapoteza first half, hii ya leo tena kakosea kupanga timu tumepoteza ndani ya 20minutes!
Fellaini anauwa chemistry ya game, anapoteza mipira mchango wake ni mdogo kuliko gharama. Lindgard ni mchezaji mzuri, ila si mzuri kiasi cha kumuweka Martial nje.
Ila Mourinho lazima aanze na Fellaini then tukishajichimbia kaburi ndio anabadili timu tujifukue kaburini!
Kipigo cha leo kimeniuma sana, Chelsea sio wazuri tumewapa sifa za bure tu, nashukuru kabla ya mechi nilikula chakula maanake hali niliyonayo sijui kama ningeweza kula leo.
Anyway jumatano tuna game vs man city hapo ndio Mourinho atuoneshe yeye ni nani maanake nishaanza kum doubt sasa hivi.
Au labda ni kuwa na titles nyingi?!kuwa na page nyingi haimaanishi kuwa nyie ndio bora humu!inaonyesha ni kiasi gani mnachukiwa...50% of those pages zinatoka kwa wapinzani wenu.
kuwa na page nyingi haimaanishi kuwa nyie ndio bora humu!inaonyesha ni kiasi gani mnachukiwa...50% of those pages zinatoka kwa wapinzani wenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji13]Pole kiongozi, lakini naamini Mouronho atakuangusha mara nyingi sana...[emoji12]
Duh [emoji86]
Kweli kipigo kimekuchangananya sana aiseee.
Umefikia stage ya kujifariji kwa wingi wa posts?
Haya tuletee na idadi ya viewers sasa...
Japo uzidi kufarijika.
Afi kuchukiwa does not always mean kwamba ni m'baya..kuwa na page nyingi haimaanishi kuwa nyie ndio bora humu!inaonyesha ni kiasi gani mnachukiwa...50% of those pages zinatoka kwa wapinzani wenu.
Huyu jamaa sijui yupo vipi leo.... Ubaya kule nime baniwa siwezi kuona posts za Chelsea fans around the world.
duh umenikumbusha huyo mtu tehteh leo Mama Baggio sijui vipi? au sio United? sister etu.
Unaichambua timu kama inakuhusu vilekwa taarifa tu....
[emoji818] Zlatan ibrahimovic goli 15 EPL havuki amepoteana....
[emoji818] Manure top 4 kuipata wanahitaji nguvu ya ziada
[emoji818] Msimu huu ni Wanne watatoka weupe Peee still counting....Kuanzia msimu The chosen one itafika hata misimu Saba bila bila [emoji16] kipindi cha mpito vumilieni wajameniii ...Ding dong
[emoji818] Jumatano hii
MANCHESTER CITY vs Manure (kombe la Ligi) hili nalo JANGA jingine POLENI
[emoji818] Henrikh mikhtaryan manure walinunua ili iweje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
GGGMU
Grow up man, sio kila utd ikfungwa ni tatizo la Pogba, huo utakua ushabik maandazi..Lipogba bora mbadilishane na gunia la makamasi
Leo bar za Sinza zitamlia sana hela zake lol
Kule bado hujafanikiwa tuu?
Umesahau dau lake sio!! Pogba hajafanya lolote la maana toka aje na kwa bei yake ilibidi awe na uwezo wa kuendesha game na kuamua matokeoGrow up man, sio kila utd ikfungwa ni tatizo la Pogba, huo utakua ushabik maandazi..
Samahan kama ntakua nmekukwaza!
Pole aiseee ndo gameKipindi tuko na Larsson Fergie alimtumia vizuri sana lakini Mourinho kumfanya Ibra striker tegemezi si sawa. Mtu ana 35yrs kucheza 90minutes as lone striker sio kazi ndogo.
Leo alikuwa anakabwa na three chelsea centre backs atafanya nini? Ingawa three goals leo zilikiwa individual school boy mistakes bado namlaumu Mourinho na upangaji wake wa timu.
Game na man city alikosea kupanga timu tukapoteza first half, hii ya leo tena kakosea kupanga timu tumepoteza ndani ya 20minutes!
Fellaini anauwa chemistry ya game, anapoteza mipira mchango wake ni mdogo kuliko gharama. Lindgard ni mchezaji mzuri, ila si mzuri kiasi cha kumuweka Martial nje.
Ila Mourinho lazima aanze na Fellaini then tukishajichimbia kaburi ndio anabadili timu tujifukue kaburini!
Kipigo cha leo kimeniuma sana, Chelsea sio wazuri tumewapa sifa za bure tu, nashukuru kabla ya mechi nilikula chakula maanake hali niliyonayo sijui kama ningeweza kula leo.
Anyway jumatano tuna game vs man city hapo ndio Mourinho atuoneshe yeye ni nani maanake nishaanza kum doubt sasa hivi.
Sasa kaka, wewe ni msimu wa wangapi unatoka kapa? Au Goobers kutoka kapa misimu 10 ni sawa na kawaida tu?kwa taarifa tu....