Neymar kapiga penat kama juma rusewa, timu zetu za epl sio lolote si chochote, hii ni moja ya barcelona mbovu kabisa mtu unakufa 4, Pep nae ni louis van gaal aliyemjanja kwenye kusajili good players.
[emoji28][emoji28] kweli kabisa.soka lipo spain epl tushazoea hatuna namna
Abood ilo dar - moro - dar
Kwa pale epl guardiola angepewa aseno angewafanya kitu mbaya sana hawa barca.........
Kawashindwa na Bayern ndio itakuwa arsenal mabingwa wa 16 bora acha masihara [emoji16][emoji16]Kwa pale epl guardiola angepewa aseno angewafanya kitu mbaya sana hawa barca.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti panya roadpanya road wakitaka kumpota Pogba
Ngariba walio mkaba wangapi?wako wawili hapo?
Ngariba walio mkaba wangapi?
Ngariba walio mkaba wangapi?
Teehee teeehe teeeheAione Yule shabiki wa Liver aliye kuwa anachonga sana kwamba tulicheza 10-1
Teehee teeehe teeehe
Kipenzi mbona umepoa ghafla yaani Hata picha za minato sizioni tena kule ,draw tu inakutoa roho? Come on ! maisha bado yanaendelea. ....[emoji41] [emoji3]Teehee teeehe teeehe