Hawa Chelsea nao wanaanza kuwa kama Arsenal......:bored::bored:
Leo staili yangu ni kimyakimya...
:angry: wanacheza vizuri ndo maana nataka wavunjwe miguu watoke nje....l.o.l
halafu weweee.. nikikukamata!
angalia kandanda hilo sio wale watoto wenu ambao wana allergy na makombe
Mbona unaanza woga mapema, nasubiri mguu wa Wine Romney, Nani, Vidic, Ferdinand na Hernandes ivunjike khe khe khe kheeeeeeeeeee
Mbona unaanza woga mapema, nasubiri mguu wa Wine Romney, Nani, Vidic, Ferdinand na Hernandes ivunjike khe khe khe kheeeeeeeeeee
Hawa Chelsea nao wanaanza kuwa kama Arsenal......:bored::bored:
Naona huu mtaa leo umejaa wageni tu vp? Wenyeji wp?
Ohhh nikajuwa wewe mwenzetu kumbe mgeni bana hahaha....haya basi tupe support na sio kutuponda bana....
teh tehe hivi hapo kwenye nyekundu ndio inakuwaje?