UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Haibadilishi ukweli kwamba ni aibu siobarcelona wamuweke sokoni mess,neymar,suarez,iniesta halafu uje upige hesabu na jumla ya vikos vya alaves na celta vigo ambao walivuna point 3 kuna muda mpira una plan zake sio kuangalia shame mechi mbili za buyern na dortmund na hao waliowatoa jasho una gotze,kagawa,aubemeyung na bado walipigwa na rb leipzig
Yes shame to us !!! Congrats to you ambao mlipigwa nne...... hivi Furaha yenu mlitegemea tufungwe.?.... kumshinda adui yako ni kumjua na ukishamjua namna ya kumkabili ni tayari kumshinda so mlitaka tuwaachie wafunge nyie vipi? Wangekuwa wakali wasingekubali tuwachezeshe game tunalotaka sisi!SHAME to MANU. What the heck is this???
Zlatan "Scorpion" Ibrahimov wanamwitaZlatani hafanyi lolote mkuu. Anachofanya sasa hivi ni ku-knock around pass zisizokuwa na macho. Cha ajabu Mourinho bado anamchezesha dakika zote 90.
For sure ilikua 4-3 so far ongeza kasi walau uwe unashinda usogee sogee nafasi ya 7 na 2 kuna gape kubwa sana hapo jitahidi kaka next game nampiga middlesbrough wakati huo unapigwa au kudraw tena na chelsea af BOLD GUNNER tunasogea kwa speed ya lightNi kweli hasa ukizingatia waliwapiga nne kwenu!
Hahaha kuna mmoja kule kanichekesha eti its shame kutumia live score!!!,nawauliza km pass na ball possession ni deal watuulize sisi wakati wa LVG tulikuwaje??......... hakuna wonders yoyote waliyoifanya zaidi ya pass na possession tu
pamoja na posses yetu kuwa chini cha ajabu shots on target wametuzid moja tu...... ina maana wao walikua wanaona raha tu kupasiana
welcome Old Traford
Mbona hamkushinda kama kweli walikubaliYes shame to us !!! Congrats to you ambao mlipigwa nne...... hivi Furaha yenu mlitegemea tufungwe.?.... kumshinda adui yako ni kumjua na ukishamjua namna ya kumkabili ni tayari kumshinda so mlitaka tuwaachie wafunge nyie vipi? Wangekuwa wakali wasingekubali tuwachezeshe game tunalotaka sisi!
Naona jana milioni mia muuza jezi alikuwa anazurura tu anfield
Sisi tumefanya tulichokitaka kazi ni kwao walichofanya sisi tulichotaka.....sijui unanisomaaa????????.Mbona hamkushinda kama kweli walikubali
Mngetuzidi point kama kumi sijui ingekuwaje???? Kina Sheikh Yahaya tumewazoea kutabiri sasahivi muwe mnaturudishia chenji Zetu.......For sure ilikua 4-3 so far ongeza kasi walau uwe unashinda usogee sogee nafasi ya 7 na 2 kuna gape kubwa sana hapo jitahidi kaka next game nampiga middlesbrough wakati huo unapigwa au kudraw tena na chelsea af BOLD GUNNER tunasogea kwa speed ya light
Sio timu ndogo na kikosi chake kimejaa hela, sasa kwa tactics za jana ilitakiwa timu ndogo ndo kucheza vile.Kwani man u ni timu ndogo kaka
Mlitaka draw kumbe na zile attempts zilifuata nini golini kwa liver ??Sisi tumefanya tulichokitaka kazi ni kwao walichofanya sisi tulichotaka.....sijui unanisomaaa????????.
Nafikiri unajua nini maana ya speed ya light??Mngetuzidi point kama kumi sijui ingekuwaje???? Kina Sheikh Yahaya tumewazoea kutabiri sasahivi muwe mnaturudishia chenji Zetu.......
Nimeanza fuatilia ligi kuu 1997. Bendera fuata upepo kivipi? Wee mechi ya jana 9 players behind the ball unaona sawa??Umeanza lini kufatilia mpira? Au ni bendera fata upepo?
Bora ukae kimya kuliko kujiaibisha mbele za watu.
Hili ni swali la kijinga.Unaongea wewe kama nani??
Sasa huyo punguani alitaka tutumie nin kujua statistics.....walichokipata wao kwenye kuuchezea mpira ndio tulikipata sie kwa van gaal then at the end hakuna matokeo chanyaHahaha kuna mmoja kule kanichekesha eti its shame kutumia live score!!!,nawauliza km pass na ball possession ni deal watuulize sisi wakati wa LVG tulikuwaje??......... hakuna wonders yoyote waliyoifanya zaidi ya pass na possession tu
Kwa iyo wew ulitakajeNimeanza fuatilia ligi kuu 1997. Bendera fuata upepo kivipi? Wee mechi ya jana 9 players behind the ball unaona sawa??
Mpira una matokeo matatuMlitaka draw kumbe na zile attempts zilifuata nini golini kwa liver ??
Nimeanza fuatilia ligi kuu 1997. Bendera fuata upepo kivipi? Wee mechi ya jana 9 players behind the ball unaona sawa??