Nov 19 Mourinho ataanza kufungasha virago.
Sio kuacha point 3 tumewahi kufungwa kabisa na Liverpool na leo pia kabla ya mechi walikuwa wameshashindaMlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia drawwanasahau walikomaa umu kua hata ****** Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hiinext w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
Ndugu yangu kwa kugeuza maneno hujambo? Wewe si uliwapa Majogoo ushindi kwamba yatatuchapa kama yalivyokuchapa,sisi tukakwambia huyu Mteja wetu havunji uteja,sasa huoni tumetimiza customer care yetu Mteja wetu tunaye bado next time tutampatia service nzuri kidogo mambo ya kiuchumi hayakukaa vizuri....... nasubiri bado point zangu kwakoMlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia drawwanasahau walikomaa umu kua hata ****** Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hiinext w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
Moyes alifungwa game zote na Liverpool usiku mwema.Mlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia drawwanasahau walikomaa umu kua hata ****** Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hiinext w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
Nimpelekee nini??mpelekee sasa kumbe unajua
jogoo kachoropoka.
Huwa unaangalia game za United au unasimuliwa na mashabiki wa Arsenal/Liverpool ?Zlatani hafanyi lolote mkuu. Anachofanya sasa hivi ni ku-knock around pass zisizokuwa na macho. Cha ajabu Mourinho bado anamchezesha dakika zote 90.
Game ngumu hii kumbuka Zlatan anacheza peke yake mbele na Pogba hakuwa na msaada wowote leo
Huko kwako vp hakuna flop of the match??Mlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia drawwanasahau walikomaa umu kua hata ****** Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hiinext w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
Daaah natafuta njia aliyochoropoka siioni mamaeeejogoo kachoropoka.
Na ndio ilikua target ya leo so welcome old traford
SOMA HAPA, THEN UTUAMBIE NANI AME MCHOROPOKA MWENZAKE.jogoo kachoropoka.
Target ilikuwa kutafuta alama moja?Na ndio ilikua target ya leo so welcome old traford
Target ilikuwa kutoka na pointTarget ilikuwa kutafuta alama moja?
Yaani acha tu Leo Mimi nacheka hapa kama mwehu yaani zaidi Jogoo ndo kanifurahisha anasema Wewe Leo Furahi next week utalia,sasa najiuliza nao wameamua kukubali jirani awasaidie kutulizaHakuna waliokereka na sisi kuondoka na point juanfield kama wajukuu wa mr bean, walitegemea na sisi tupewe nne kama wao, ghafla wamebadili gia wameanza kuizungumzia game ya chelshit.
Hata Fabregas kule darajani huwa anawekwa benchi