Ipo overrated tu ila akuna jipya ilikuwaga enzi izo sio sasa ndomaana wamefikia hatua ya kuipeleka ichezwe usiku wa j3, Liverpool ni katimu kadogo tu kwasasa, katimu tulikokafunga game 4 mfululizo ktk misimu 2 iliyopita epl, Ni kweli nimeanza kuipenda Man Utd 2000 siwezi sema nilianza kuipenda 1980 wakati nimezaliwa miaka ya 1990