Nifundishe kunyamaza ,nifundishe kunyamaza nisije nikakukosea Mungu wangu eeee....[emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji445] ......
Baba na mwana wanaimba na kuchezaaa...[emoji441][emoji443][emoji445]
Chief Herrera sijui yuko wapi leo na Everlenk bila kumsahau Sister heeee heeee....Stoke wana bahati sana naikumbuka assist ya Depay pale Britania msimu uliopita
Kwa upako huu lazma Mungu atuone .....na ubingwa tutachukua......Amen.Nifundishe kunyamaza ,nifundishe kunyamaza nisije nikakukosea Mungu wangu eeee....[emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji445] ......
Ipo siku yangu tu ,ipo siku yangu tu, sikuuuuuu......ipo siku yangu tu nami niba...niba....nibarikiwe!!!!!.......[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji445] ....
Na point tatu.....nibarikiwe...[emoji444] [emoji444]
Kuchukua ubingwa....nibarikiwe....niba ....niba...nibarikiweee[emoji445] [emoji445] [emoji445] ....
Usifurahi juu yangu eeeee aduiii yanguuuuuuuu......niangukapo Mimi nitasimama tena......[emoji444][emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji445] .....
Hahahhahhaha ni vijimambo tu na vinanikera kweli kweli.!!!!........ WE ARE THE UNITED WE WILL MAKE IT!!!![emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
Wamefungwa ngapi.......????The good thing majirani zenu Citey nao wamefungwa leo.
Wamefungwa ngapi.......????
Ulichosema ni kweli. Perfomance ilikuwa nzuri sema tumekuwa wasteful infront of the goal!Kwa mshabiki wa kwl anaejua mpira hawez lalamika leo kiwango kizuri sometimes lzma mkubali fate hichi cha leo ndio mziki tunaotaka ila naona lingerd ni better awe sub aanze martial ggmu
Manchester United tumetengeneza nafasi za kufunga zaidi ya 7 ...ila tumeambulia sare ya bao 1-1 .. Kipindi cha Kwanza tulistahili kufunga zaidi ya mabao 3 ..
Zlatan Leo hakua na Bahati. ..pogba hakuwa na Bahati pia
Enjoy your time broh
Heeeee heeeee mmebaki na comments zenu tukutane baada ya wiki mbili [emoji23][emoji23][emoji23]
Heeeee heeeee mmebaki na comments zenu tukutane baada ya wiki mbili [emoji23][emoji23][emoji23]
Enjoy your time broh
Mkuu ili ni jukwaa la Man United
Unamaanisha kua..?
Heeeee heeeee mmebaki na comments zenu tukutane baada ya wiki mbili [emoji23][emoji23][emoji23]
Picha za Arsenal peleka jukwaa la Arsenal
Naona arsenal hawaruhusiwi kutupia picha zaoView attachment 411051