Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mou hana kosa. Nimeandika sehemu kuwa Mou ametenda makosa?
Mbinu za Mou zinajulikana. Basi ameli-park Daraja bovu, London na hajapata dereva wa kulileta Manchestfer. Likifika hilo ndio mtafurahia kuvuna points 3 hapa 3, pale.
Mimi namsapiti Mou napenda kucomedy zake(match press conferences zake). Pia anajua kununua mafanikio.
Nikumbushe. Hivi ametumia paunds milioni ngapi kununua wachezaji msimu huu?
 


Baba na mwana wanaimba na kuchezaaa...

Chief Herrera sijui yuko wapi leo na Everlenk bila kumsahau Sister heeee heeee....Stoke wana bahati sana naikumbuka assist ya Depay pale Britania msimu uliopita
 
Ahaaaa! Kumbe Ubora wenu Munaangalia Positions na Chance Hewa???
Haya Nyie Weledi Wa Soka Jipimeni Kwa Chance Hewa! Wacha Wengine Wajitume Kwa Kutupia.


I'M MAN U HATER

Unaona ulivokuwa mbwiga,

Sasa utaongeleaje mpira ukiwa na Chuki mishipani mwako...

Ndo nyie mnaong'oa viti uwanja wa Taifa, Prove me wrong!!!!
 
Msimu hauja isha
Ukiisha njoo tufanye tathmini

Ila leo tumecheza vzuri tuu, ushindi hufugwi una nunuliwa tukiona hatushindi tuta nunua tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…