ha ha ha ha haLeo hata mke wangu akiomba pin ya atm card nampa
Wamepata kamoja ka kufutia machozi.FT: Man Utd 4- Leicester 1
Kwahiyo leo rooney hajacheza kabisa.?
Pogba Leo kawanyamazisha watuNaachaje kwa mfano na pogba kafunga.
Ataliwa tu tena kiurahisi sana.Naona kama tukiendelea hivi aseno tutamla 8 tena
Umesikika bro!Mkuu ulisubiri hadi mcheze vizuri uje na hizi stats?
Okay poa poa.Amecheza dakika 6 za mwisho ila aliingizwa acheze 11 nadhani.
Bado hajarudisha hata robo ya fedha aliyonunuliwa mkuu [HASHTAG]#realisticBE[/HASHTAG]Pogba Leo kawanyamazisha watu
Hahahaha wameinamisha sura zao.Pogba Leo kawanyamazisha watu
PogbackMan of the Match: MATA
Mdogo mdogo tu itarudi. Nilichofurahi katupia nyavuni leomaana kasemwa sanaBado hajarudisha hata robo ya fedha aliyonunuliwa mkuu [HASHTAG]#realisticBE[/HASHTAG]