Manchester United (Red Devils) | Special Thread

the start of day ni mzuri sana kwetu licha yakuwa tunamapungufu ila leo tumeweka viungo watatu tumeona matokeo yake
 
The people who make thoday's team tick are Herrera and Mata.

Bado Pogba hajafanya anything peculiar.

So far Rashford has been more important/valuable than him.

Watu ambao hawajawa effective sana ni Lingard na Ibrahimovic...at least Pogba can claim more credit over them.
 
Wewe ndiyo mmoja wa [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG]...
Kama umechukia sana kasage chupa ule bro...
 
Wewe ndiyo mmoja wa [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG]...
Kama umechukia sana kasage chupa ule bro...
 
Hahahahahahaha lol! khe kheeee kheeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeee...Hongereni Mkuu hii game imeshakwisha ila si ajabu kuna goli mbili nyingine au hata tatu kama UKUTA wa Leicester utazembea zaidi. Si kutegemea kabla ya half time muwe mnaongoza 4-0 nadhani wengi hatukutegemea kikapu cha magoli kiasi hiki.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…