Ni wakat kuafaka mou ajue kuwa timu wa kuiharibu ni yy au mafanikio ni yy iko wazi kuwa anahitajika herrera/carrick hata morgan na pogba maana kama rumba litachezwa sana kwenye box option ya kupiga ipo na naona ndio style wamekuja nayo herrera na carrick hii inanikumbusha akina scholes,keane na butt