Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ayayayay Kaingia Allen Potter...huyu jamaa mnajua....ni mfupi ana stamina balaa.

Aiseee....
 
Get it in...Rashford had no right to reach that Ander's pass, what a pass...
 
Aaaargh game mmenunua hii...huyu kipa lazima achunguzwe aisee...sio kwa goli lile

Wao 1 - 3 nyie
 
Baada ya kucheza faulo mmefanikiwa kupata goli
Kama uliangalia goli la pili la Watford dhidi ya United last weekend, utafuta ulichoandika. Martial alifanyiwa hivyo hivyo ulivyosema ni foul.
 
NaanZa ona bora kiungo akae karick na pogba kuliko minywele na pogba
 
Kama uliangalia goli la pili la Watford dhidi ya United last weekend, utafuta ulichoandika. Martial alifanyiwa hivyo hivyo ulivyosema ni foul.
Two wrongs dont make a right.
 
NaanZa ona bora kiungo akae karick na pogba kuliko minywele na pogba
True that. Pogba anahitaji mwenza mwenye kuweza kumfanya awe huru na asiwe na wasiwasi wa kurudi sana kusaidia backline.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…