Si kweli huwezi mlaumu blind kwa ile penalty yale ni makosa ya defence upande wa kulia. Yeye alikuwa anajaribu kuzuia makosa yao..it could happen to any player. Hajacheza rafu ya makusudi hata kidogo.