SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Braza sijui unamwongelea Rashford yupi? He lacks pace? Nitajie hicho unachokunywa ama kuvuta nami nikitumie siku nyingine.
Ebu angalia huyo unayemsema "he lacks pace.."
Angalia goli dhidi ya Man Shitty na dhidi ya U-21 ya Norway.
Pace is one of his playing attributes. Jaribu kumwangalia kwa jicho lisilo la kinazi bruh!
Kumbe hamjatulia?!! Mbona mliposhinda vile vimechi vya mwanzoni tu mkaanza kuota na kombe la EPL? Ahahahaaa! Man u ni sikio la kufa.Tutakuja kutulia na kufanya yetu huu uzi mtakuwa mnaupita kama kituo cha polisi man united forever.
Bado hatujawa sawa muda utaamua tuweke akiba ya manenoKumbe hamjatulia?!! Mbona mliposhinda vile vimechi vya mwanzoni tu mkaanza kuota na kombe la EPL? Ahahahaaa! Man u ni sikio la kufa.
He doesn't lack pace. Pace is one of his playing attributes.Kwa kuwa huangalia EPL tu Na sijaangalia U21
All the BESTBado hatujawa sawa muda utaamua tuweke akiba ya maneno
From the "Special 1" to the "Only 1" to "Happy 1" Now he is the "Not my fault one/ blaming others 1"
Chelsea R. Madrid Chelsea Man Utd
Sasa hivi analaumu wachezaji wamezowea staili ya LVG.
Why Mourinho thinks Man United's losing streak is down to predecessor Van Gaal
Naona mzee wa udaku kama kawaida...sasa unaleta habari ambayo hai-quote alichokisema the Boss bali his friends?From the "Special 1" to the "Only 1" to "Happy 1" Now he is the "Not my fault one/ blaming others 1"
Chelsea R. Madrid Chelsea Man Utd
Sasa hivi analaumu wachezaji wamezowea staili ya LVG.
Why Mourinho thinks Man United's losing streak is down to predecessor Van Gaal
ana mambo ya kuyaangalia na si hiyo clip......labda nyie mashabiki ndiyo muangalie hiyo clip.Mwambieni uyo Pogba wenu aangalie clip za xhaka labda atagundua kitu
Mwambieni uyo Pogba wenu aangalie clip za xhaka labda atagundua kitu
Mwambieni uyo Pogba wenu aangalie clip za xhaka labda atagundua kitu
Naona mzee wa udaku kama kawaida...sasa unaleta habari ambayo hai-quote alichokisema the Boss bali his friends?
afu asitupie uone maneno ya haters.The United World
Marcus Rashford will reportedly sign a new £50,000-a-week contract at Man United, making him the highest paid teenager in world football.