Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli ndio maana moyes alitoka alikotoka na cv inayofanana na mou akaja manure hahaha
 
I miss u so much swahiba ni muda hatujakaa tukajadili
nilikuja na jamvi jana nimelia sana hapa msibani ila sauti ya kike ilikua ya sister tu nikapata shaka kuhusu wapi ulipo naomba nikupe pole lundo swahiba.
Hahahahah Swahiba nashukuru kwa pole kwa kweli nimetulia sasa maana msiba ulikuwa mzito sana,haya nimepata maono eti Hilo jamvi leo tunalikalia kwako........ sasa nimeenda Mkulanga kuchukua kabisa Nazi ili tusikose angalau uji siku ya leo,tulie lakini uji uwepo
 
Hull, Majogoo ya Malafyale, Watford, Everton, Tottenham.
Nasikitika kukutaafifu kwamba si timu yako wala ya jirani zako itatwaa ubingwa msimu huu.
Hahahhahaha haya bana Hata Sheick Yahaya alitabiri, amaaaaaa!!! Safari hii umempa nafasi Jogoo
haya sisi tupogo na Mou wetu ngoja tumpe sapoti tu.
 
kapigwa chelsea mashabik wa aseno,liverpool na wale waliokat walio hamia man city wapo kimya ngoja klabu kubwa ifanye vibaya wanafarakana utaaona humu mara mbili mbili nimeamini manchester united ni brand kubwa na moja ya club kubwa na yenye nguvu watu wana wivu balaa karibuni huku kwenye mti wenye matunda.
 
Hahahhahaha haya bana Hata Sheick Yahaya alitabiri, amaaaaaa!!! Safari hii umempa nafasi Jogoo
haya sisi tupogo na Mou wetu ngoja tumpe sapoti tu.
Sheikh Yahya alishamaliza kazi yake na aliondoka. Aliondoka na vifaa vyake vya maabara kama vile vya mamlaka ya hali ya hewa. Utabiri wa hali ya hewa. Utabiri ni kazi, ni taaluma ya watu. Mimi sina taaluma hiyo. Msimu ndio umeanza na kwa namna ambayo Mou amejaribu kuwapa matumaini ni jambo jema kumpa sapoti ili awatumbue.
Ntuzu amemfuata Mou au Everlenk huko Man. United?

Ukimwona,miambie Malafyale anamtafuta.
 
Mwenyew nashangaa humu kumepoa ngoja tufungwe sasa ilo balaa lake
 
hawa jamaa wanaocheza na man city wamechukua kakirus toka aseno kanachomesha balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…