Nadhani kila wakati Mourinho anapotakiwa timu yake icheze entertaining and attacking football anakuwa hana jipya na timu anayofundisha inakuwa hovyo hovyo. Mfano last season Chelsea na msimu huu Man Utd bado inajitafuta ki-identity, ingawaje msimu ndio umeanza lakini sijaona mechi ambayo Manchester United imecheza vizuri pamoja na kushinda mechi kadhaa.