True We also learn that so far he's a passenger.
Zlatan: "All the jealous people talking about Pogba will swallow every word they said about him. Because he'll only get better."
Hopefully hakuchaguliwa kuwa special wa hizo mechi jukumu la kung' ara ni la kila player sio pogba tu ndo mana wapo 11Until then, tutaongelea upoteaji wake katika mechi "kubwa" so far. Man Utd vs Man City na France vs Portugal.
You have got somthing very intresting broh anyway thaks for the tipYou sound like a typical Koppite I.e. Living in history
Ukitaka mambo Ya history then Loserfools ndio madume Ya mjini 5 times UEFA champion league winners Au Nottingham Forest and even Aston villa.
Live for the moment brother. Man City leo ndio kidume Na ndio habari Ya mujini
Fergie days are history
Until then, tutaongelea upoteaji wake katika mechi "kubwa" so far. Man Utd vs Man City na France vs Portugal.
Nilikwambiaje my dia?nilijua lazima mpakatwe by the way sasa tuongelee mambo ya kuchuniana
Tunataka chenji yetu hii deal kama ya rada tu tumepigwa haiwezekani.
Man utd bana.....wamepoteana haaaahaaa
Alafu kuna watu tukitoa £89 kwajili ya mchezaji wanaumia, Lol*MAN UNITED WAWEKA REKODI YA MAPATO*
Klabu ya Manchester United imetangaza kuingiza mapato ya Pauni milion 515.3 kwa mwaka wa fedha 2016 na kuwa klabu ya kwanza ya Uingereza kuingiza kiasi hicho.
Katika mwaka huo timu hiyo ilishinda kombe la FA,ilisaini mikataba 14 ya wadhamini na biashara,mapato ya mechi,mapato ya Televisheni yameongezeka
Sasa inakadiriwa mapato hayo kufikia pauni milioni 540 kwa mwaka 2017 licha ya kuwa hawapo katika michuano ya klabu bingwa ulaya.
Man United imekuwa timu ya kwanza ya Uingereza kufikia mapato ya nusu bilioni ndani ya mwaka mmoja, wakiweka rekodi ya faida pauni milioni 68.
Mabingwa wa La Liga Barcelona mapema mwaka huu walitangaza kuingia mapato ya pauni milioni 571, hivyo Man United wamekuwa wapili kwa mapato Barca wakiwa wa kwanza.
Kwahiyo hii nayo no hoja ya kujiteteaWanachukia kweli, watapita kama hawaoni hii habari
Inauma eehnWashirik bana asanteni kwa kuja...
Alafu kuna watu tukitoa £89 kwajili ya mchezaji wanaumia, Lol
Inauma eehn
Mbna umepanicMechi moja watu wapoteane ina maana hio ndo mech ya kwanza kufungwa united toka ilipoanzishwa?
Mbna umepanic
Kumbe mnajua nilikua sijui hiko habaKi vp kwani kuna timu muda inakuwa juu?
Kumbe mnajua nilikua sijui hiko haba
Leicester city si walinunua player kwa million 86miln au 50miln sioUnashiriki unaishia round ya 16 ukirud unakutana na story hii
Kwamba jamaa hashiriki huko bado kakupiga bao kimapato hapo nyie lazima mpanic kama huna hata uwezo wa kununua player kwa £50 unategemea nn? Lazima uje kushinda kwa wenye navyo huko njaa kali