Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Amesahau kuwa Fellaini alistahili red for repeated nasty fouls
Mwamuzi alichezesha vizuri sana
Kwa kifupi mlizidiwa kila idara kasoro kipa tu
Kun Aguero angekuwepo leo mngekula 4
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahaaaah...
Wewe ni zaidi ya MWEHU..!
 
Nikukumbushe tu hili jukwaa ni la mpira wa miguu sio mpira wa mikono kwa ulichokipost hapo inadhihirisha mpira hauujui ndo mana ukapost de brune kamkaba pogba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mourinho alikorofishana na wachezaji wake akiwa Chelsea last season kwa sababu hii hii. Actually kulaumu wachezaji wa upinzani na marefa, pitch, weather hadharani ni jambo la busara kuliko anavyofanya Mourinho.
Wewe unachekesha. Kulaumu watoto wangu hadharani si sahihi ila kulaumu watoto wa jirani hadharani ni sawa. SYFH!
 
[emoji23][emoji23]
 
Mkuu,uliwahi kufanya nae kazi popote pale??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…