Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee Bahasha zinafanya kazi khe khe kheeeeeee
Kosa lenu ni kutoa Bahasha mmenunua marefa karibu wote yule refa wa leo alijua jasho litamtoka baada ya kuona mko two down hivyo akaanza kuwabeba. Kama unavyojua kwenye soka small decisions zinasaidia sana kwenye kushinda mechi hasa kwenye EPL ambayo iko mfukoni mwenu. Kama ulivyoona Vidic alikuwa ni last defender alikuwa aone red kabla ya halftime na penalty aliyowanyima West ham ..... ....
Wewe si ulisema uwa huangalii mechi za Man Utd sasa umejuaje kama tumebebwa...? Hivi wewe kwa akili yako ulitegemea Demba Ba angeufikia ule mpira? Give me a break!! West Ham got what they deserved ukiangalia statistics West Ham walikuwa nyuma kwenye kila kitu heck mbali ya penalty zao mbili hawakumsumbua kipa wangu kabisa.
This talk of bahasha is getting old pretty fast.
Ni kweli mnapocheza huwa siangalii lakini ninazitape mechi zote then naangalia review kwenye utata unapotokea kwa sababu ya kuona kushinda kwenu its that simple mate! kama ukiangalia utaona refa hakuwa fair kwa kusema kwamba Demba Ba asingeufikia ule mpira huo ni unafiki wake tu .... ..... tena usiongelee mambo ya statistics kwa sababu wote tunafahamu mpira ni magoli. Vipi mbona huongelei penalty soft mliyopewa na refa huyo huyo kuwanyima penalty West Ham?
Kwa hiyo kwa sababu mnawadondosha kwenye penalty area ulitaka wasipewe au Vidic anapounawa mpira vile vile wasipewe penalty? wacha hizo mkuu .... .... khe khe khe kheeeeeeee
Speaking of soft penalty mbona wao walipewa soft penalty na hakuna aliyepiga kelele.. besides that ata ukitoa penalty waliyotupa still we scored three deserved goals for all I know we had the capabilities of scoring more.
Huyo refa aliyechezesha mechi ya leo ndio yule yule aliyewapa Birmingham goli la offside mwezi wa kwanza.
Nashangaa hii ni moja ya kikosi kibovu cha ManU lakini kinawatesa ngoja next season tutawapiga tena goli sitaWacha ngebe wewe ukweli umeuona na ulijua sitaacha kusema ukweli kwa mpira mnaocheza tutaona mtafika wapi! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha ngebe wewe ukweli umeuona na ulijua sitaacha kusema ukweli kwa mpira mnaocheza tutaona mtafika wapi! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa hiyo kwa sababu mnawadondosha kwenye penalty area ulitaka wasipewe au Vidic anapounawa mpira vile vile wasipewe penalty? wacha hizo mkuu .... .... khe khe khe kheeeeeeee
Ebu tuangalie mpira tunaocheza umetufikisha wapi;
1. Tunaongoza kwenye EPL tukiwa mbele kwa point 7
Ukiniambia nichague kati ya mpira unaochezwa na Man Utd na wa Arsenal well jibu unalijua mwenyewe....
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee Bahasha zinafanya kazi khe khe kheeeeeee
Kosa lenu ni kutoa Bahasha mmenunua marefa karibu wote yule refa wa leo alijua jasho litamtoka baada ya kuona mko two down hivyo akaanza kuwabeba. ..... ....
Nashangaa hii ni moja ya kikosi kibovu cha ManU lakini kinawatesa ngoja next season tutawapiga tena goli sita
Hoja chovu mno kuliko zote...unafikiri EPL ni ligi ya mchangani nini ? Wenzetu wapo makini mno kitendo cha kutoa bahasha ni sawa na kuiua timu yako.Bora uwambie hao wanazi wasiofuatilia kabumbu kwamba timu yenu si chochote si lolote. Angalau unauona ukweli ambao umegubikwa na bahasha. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Mambo bado tulieni its not over until is over ... .... ...
Bora uwambie hao wanazi wasiofuatilia kabumbu kwamba timu yenu si chochote si lolote. Angalau unauona ukweli ambao umegubikwa na bahasha. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Mambo bado tulieni its not over until is over ... .... ...
Kwani kuna aliewanyima nyie kutoa bahasha
Na mtakoma hadi muache ubahili....kikosi kinajaa wachezaji wa bure na mkopo na fedha za kununulia ndimu unatarajia nini baba akeeee.....
Tetehehe...Nilicheka sana juzi kumuona Jens Lehman....
Arsenal bana, kama wehu fulani hivi, mnapenda sana vya kusogezewa