Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Majirani leo huu mlango umekuwa wa Moto, Tena Moto wa Lava!!!
Nawataka wote waliokuwa wakidai Pogba hana thamani ya £89. Thamani na radha halisi ya Soka aka Football au Kabumbu kwa lugha ya kwetu inaonyeshwa hapa na huyu wana..!!
Kunajamaa alijiuzuru kushabikia Ars, Kafanya uamuzi mzuri, maana wenzake wanajing'oa nyongo. Sasa mlango uko wazi aja apate raha hapa OT
BACK TANGANYIKA
Uzuri wa Mau akishajua tu first eleven yake ndo hiyo hiyo hadi mwisho.siyo kama kina LVG hawajui first eleven zaouko sahihi mkuu....hasa kwenye kiungo na mbele...nimependa sana pogba anavyo miliki kiungo..anavyogawa mipira na jinsi alivyo stable na nguvu pia!!
Nadhani smalling inabidi ajiulize mara mbili kuhusu namaba yake pale nyuma
uko sahihi mkuu....hasa kwenye kiungo na mbele...nimependa sana pogba anavyo miliki kiungo..anavyogawa mipira na jinsi alivyo stable na nguvu pia!!
Nadhani smalling inabidi ajiulize mara mbili kuhusu namaba yake pale nyuma
Sijawahi...jua...start XI...ya..LVG..mpaka...leo...hiiUzuri wa Mau akishajua tu first eleven yake ndo hiyo hiyo hadi mwisho.siyo kama kina LVG hawajui first eleven zao
Kama...smalling...atakuwa..vizuri...kama..last.season..basi..Blind...anakazi...
Mau anataka specialist hataki multipurpos hahahaHis future is uncertain at Man Utd.
hahaWaongezee na Civics washinde
Blind..hawezi..uzwa..msimu...huu...labda...apatikane....backup....ya..smalling...na..Baily...kuna..tetesi...tunahusishwa...na..Fonte...ambaye..31 old...wakati..Blind..ni..26 sasaHis future is uncertain at Man Utd.
Kwani wakitumia biology vipi kwani lazima chemistry?Saints wamekosa chemistry tu game wangeshinda
Wanajeshi wa ardhini wana tabia moja ya kushirikiana wanapotaka kuteka kambi ya adui.Henrikh Mkhitaryan ni fundi sana huyu anatakiwa awe anaanza Martial afuate badaye