Lakini hapa wanarusha vijembe, wanatukana na kufanya kila wanalojisikia poa tu... Ndiomaana huwezi kukuta kamba yetu iko page two. Tafuta sasa kamba za Ars, Liver, Chels oooh, utabonya simu mpaka kidole kipate ganzi...!!
Mkuu Enzo, karibu na uko huru kwa maoni yako, we jimwage tu.