Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mshambuliaji wa Real madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema amekamilisha uhamisho wake wa pounds millioni 70 na kujiunga na klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza,ili kupata vichekesho vingine kama hiki tuma neno WENGER kwenda 15528
 
hahahaaa.....tena vichekesho vya mwaka.
 
ila bado rooney hanifurahish kabisa kama vipi ajaribu kuwa anaanzia bench ili watu wajaribu kucheza namb me naamn watacheza vizur kuliko yeye, mak au matial wacheze nyuma ya kadabra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…