amekuitikia salama yakoDaaaa shikamoo Ibramovic
Hahahaha sahau namuamin kapten wanguUrbanGenamuamin ka k post: 17213285 said:Rooney afate nyayo za mgosi tuu
Hapa to ndo mm na we tunapishanaHata kama, ila rooney kaisha aisee
Nimewakubali mkuu, ila tunakuja kuwatoa kileleni kesho.Alikuja bure. Wakamuita mzee.
Maza fanta.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mashabiki wa Timu zingine Tuvumiliane Tuuu kila mtu alisajiri mchezaji wake!
Rafiki bado nahitaji uwepo wako hapa..Mnawatandika au mnaongoza mtandiko
Ng'ombe hazeeki maini......[emoji12]Alikuja bure. Wakamuita mzee.
Maza fanta.
Kuna watu roho zinawauma jamani....ooh hii timu mnayocheza nayo mbovu!