Mkuu hata SAF alikuwa ana sajili kwa pesa nyngi piaSince SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.
Beki ghali duniani alikuwa rio ferdinand unajua nani alimsajili?Since SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.
Uoga wako ndo umasikini wako wataalamu hawajamwangalia pogba kwa msimu huu tuManchester imesajili sharobaro kwa thamani aliyopewa na usharobaro alionao akiwa uwanjani sijui yangu macho
Since SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.
Raheem sterling... Kiku*du juu... Natania tuKitu cha msingi ni klabu inaingiza fedha nyingi mpaka inaweza kumnunua mchezaji kwa hiyo hela.Bei ya Sterling na Mangala (49+42=£91m wote magalasa) ni kubwa kuliko aliyonunuliwa Pogba
Naskia mnakaribia kumsajili legend wetu John Evans
Mkuu hata SAF alikuwa ana sajili kwa pesa nyngi pia
Halaf mambo yamebadilika kama sterling aliuzwa ja £50 milion
Pogba auzweje!!?
Ndio maana anayejali bei mzee wenger hanunui kabsa (ndo suluhisho hilo kama hutaki ku spend)
Halafu poga mpaka mwakani pesa ya mauzo ya jezi tuu utakuwa isha rudisha faida
Ndo mpira usha badilika hvo, na tuna badilika nao
Kwanza itabidi ujitoe ufahamu ukitaka kuongea/kubishana na mashabiki wa arsenal masuala ya transfers, hasa ukija upande ya ada za uhamisho, wanachoamini wenyewe na mzee wao wenger ni kwamba CL bado inamata kumshawishi mchezaji kujiunga na club flani wamesahau mpira wa sasa ni pesa.Beki ghali duniani alikuwa rio ferdinand unajua nani alimsajili?
Kwanza itabidi ujitoe ufahamu ukitaka kuongea/kubishana na mashabiki wa arsenal masuala ya transfers, hasa ukija upande ya ada za uhamisho, wanachoamini wenyewe na mzee wao wenger ni kwamba CL bado inamata kumshawishi mchezaji kujiunga na club flani wamesahau mpira wa sasa ni pesa.
Higuain miaka 28 kwenda juve kwa £75mill its ok but pogba miaka 23 kwenda utd kwa £89 mill is overpriced and overrated.
No wonder wanasajili akina takuma.
Hili nalo neno.Kuna kitu umekiacha nyuma mkuu,
Wakati unawaza na kuchambua kufungwa kwa Leicester city ni sawa, lakini unasau kuchambua na upande wa pili wa man u, kwanini isiwe kufungwa kwao kumechangiwa na ubora wa man u ya sasa tofauti na ya msimu uliopita. Ckuona tatizo kubwa kwa city, bado wapo vizuri sana kiushindani.
kila siku wanaiombea manchester united iwe kama liverpool
By the way, Manchester United is among the richest club world wide. Its not a big deal.Since SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.
Mkuu usipoitaja Liverpool hujisikii amani?
Mkuu usipoitaja Liverpool hujisikii amani?
Punguza kututaja basiTunajifunza kwa jirani mkuu nyumba ilishaungua moto