Mwizi kivipi? Unataka asilipwe haki yake kama mnavyofanya huko Bongo? kumbuka hii ni biashara jamaa ni mfanyabiashara/kazi hawezi kufanya kazi yake bure kwa vile eti ni Manchester United. Manchester united means nothing to his life. Wabongo mmeshazoweshwa uzembe zembe wa kufikiria.Hivi huyu mino raiola mbona mwizi hivi....anapindishapindisha mambo...anataka wamlipe pesa ndefu hivo kwanin...mara 20 mara 10 mil uero...anazingua snaa....
Sasa hivi nimeona ripoti ya Manchester United wanasema dogo anaumwa inaweza kuwa hizi habari ni gossip.Tusubiri tuone.
[emoji23][emoji23]Mwizi kivipi? Unataka asilipwe haki yake kama mnavyofanya huko Bongo? kumbuka hii ni biashara jamaa ni mfanyabiashara/kazi hawezi kufanya kazi yake bure kwa vile eti ni Manchester United. Manchester united means nothing to his life. Wabongo mmeshazoweshwa uzembe zembe wa kufikiria.
Hapa ndio ningeona man u wajinga....kumtoa mensah ni sawa na kutaka ya pogba yajirurudie...unamtoa bure alafu unamnunua kwa pesa nyingi...Sasa hivi nimeona ripoti ya Manchester United wanasema dogo anaumwa inaweza kuwa hizi habari ni gossip.
Mourinho has also spoken about Fosu-Mensah, telling MUTV: "He is not so much injured."But he has this little thing that we want to be careful with given that he is young. He is separate from the group until he is 100 per cent back."Hapa ndio ningeona man u wajinga....kumtoa mensah ni sawa na kutaka ya pogba yajirurudie...unamtoa bure alafu unamnunua kwa pesa nyingi...
Mourinho has also spoken about Fosu-Mensah, telling MUTV: "He is not so much injured."But he has this little thing that we want to be careful with given that he is young. He is separate from the group until he is 100 per cent back."
Sasa hivi nimeona ripoti ya Manchester United wanasema dogo anaumwa inaweza kuwa hizi habari ni gossip.
Hii picha itakua ni ya zamaniIpe maneno hii picha.
Hii picha itakua ni ya zamani
Ni ya Zaman kweli Pogba hairstyle yake ya sasa haiko ivooHii picha itakua ni ya zamani
Huyu pogba wa lini mkuu mbona ana mashaka mengi sana?Ipe maneno hii picha.