Jipe moyo
Arsenal fansunatia huruma kwani walioshinda friend mech wamenyakua makombe ya ligi? Chuki mbaya sana hadi kwenye friend mech halafu bado usajili unaendelea nyie ndo mnaoua soka la tz kwa ushabik wa hovyo.
Yaani mm nimependa tulivyocheza tukafungwa maana ndo tunajua udhaifu wetu uko wapi,bonge la mechi ya kujipimaPre season ya kujifunza.
Hatukati tamaa.
Ipo ivi ata United jana wangeshinda ile mechi still wangesema ni mechi ya kirafiki tu timu yetu ni mbovu, achana nao.unatia huruma kwani walioshinda friend mech wamenyakua makombe ya ligi? Chuki mbaya sana hadi kwenye friend mech halafu bado usajili unaendelea nyie ndo mnaoua soka la tz kwa ushabik wa hovyo.
Welcome back "THE CHOSEN ONE"Haya haya 'The chosen One' is back
cc Belo Th Name everlenk herrera & all Manchester united fans
Kufa kufaana Welcome back Moyes to EPL
View attachment 369769
Yaani mm nimependa tulivyocheza tukafungwa maana ndo tunajua udhaifu wetu uko wapi,bonge la mechi ya kujipima
Hahahahaha Welcome Back Moyes.......... Mtani unajua Wewe ni Man U ila unakataa tu[emoji85]Haya haya 'The chosen One' is back
cc Belo Th Name everlenk herrera & all Manchester united fans
Kufa kufaana Welcome back Moyes to EPL
View attachment 369769
NdiyoHabari nyingi ktk magazeti ya hispania na uingereza zinaonyesha Man U na Real Madrid wapo ktk mazungumzo ya kuuziana James Rodriguez. Do you think he will be perfect fit into our team and the epl league?