Unafikiri Arsenal atapata timu gani gani kwenye draw ya kesho?!
Waungwana hii hali ya majeruhi inaanza kunipa wasi wasi sasa, Chris Smalling so far amecover nafasi ya Rio Ferdinand pindi Vidic anapokuwepo, lakini akicheza na mtu kama Wes Brown inakuwa disaster (ref;Liverpool na Marseille). Midfield yetu nayo si ya kuaminika in number of occasions wamekuwa bailed out na solid defence ya Rio na Vida.
Unafikiri Arsenal atapata timu gani gani kwenye draw ya kesho?!
Khekheeeeeeeeeeeeee Kheeeeeeeeeeee!
Jibu swali; Nyie MNAOCHEZA kandanda MURUA na MARIDADI sanaaaaaaaaaaa! mko wapi?
Loooooooooooooooooserz!
Tuangalie statistics za Fergie
FA wamemrahisishia kazi SAF maana akitoa interview na kucomment anakula ban asipocomment analimwa faini, tuone BBC na Sky kama watawafungulia mashitaka FA kwa kukosa access ya kumfanyia interview mmoja wa makocha wa timu za kwenye EPL as per contract.
hee sie wa kigoma hatuhusiki?
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.
Unafikiri Arsenal atapata timu gani gani kwenye draw ya kesho?!
Inter Milan v Schalke 04
Barcelona v Shakhtar Donetsk
CHELSEA v MAN UTD
Real Madrid v TOTTENHAM
Chelsea bila msaada wa marefa tunakatiza kilaini.
Oh sorry atleast Atkinson won't be the ref,no Luiz,no penalties for dives.It looks like Chelsea are out.Man Utd - Barca final written all over it.
Nilijua tu lazima draw itakuwa hivyo, UEFA hawataki repeat ya 2008 au 2009 ya timu za England kwenda hadi kwenye nusu na fainali yenyewe. I believe Spurs wana balls za kuitoa Madrid.Inter Milan v Schalke 04
Barcelona v Shakhtar Donetsk
CHELSEA v MAN UTD
Real Madrid v TOTTENHAM
Chelsea bila msaada wa marefa tunakatiza kilaini.