Mimi kwangu matokeo haya ndiyo ninayataka sio pre season friend matches zote mshinde tu, matokeo yanatia moyo kwa kuwa mapungufu yanaonekana mapema na isitoshe kushinda sana game za kirafiki inatufanya kuona timu imekamilika kumbe sivyo, nina imani na mzee special one he always come up with new strategies, ninategemea mengi mazuri.