Mourinho Anasema Wachezaji 22 Waliopo Kwa Sasa Ambao Kafanya Nao Mazoezi Mara 10 Mpaka Sasa Ndio Watakaoshiriki Mechi Za Tour Ya China.,Vs Borussia Dortmund Na Man City. Kina Rooney Na Wenzake Walioko Mapumziko Baada Ya Kushiriki EURO Wataungana Nao China Ila Hawatacheza Mechi Hizo.,Atawaandalia Programu Maalumu Ili Kuwaweka Fiti Kwanza.