Kuweka 100 kwa pogba ni bonge la uzushi bin kamar.. Mbona zipo midfield safi tu.. Hio hela tungempata johnstones+sissoko+matuidi. Ila sio kesi kwa kua wamilik wa timu wanatoa na sisi mashabiki hatuchangii hata sh 10 ,basi acha movie liendelee na anunuliwe tu..ndo raha ya kua shabik wa club tajiri