Kweli kabisa man, nina imani bado na rojo japokua kuna baadhi ya mechi alikua anazingua kinoma, kwangu mm ni ngumu kum-judge mchezaji maana kocha mwenyewe tuliekua nae lilikua tatzo,Ila naona Mourinho angempa japo msimu mmoja ammbadilishe Maana huyu dogo nikikumbuka ile World Cup alivyokuwa yupo Kwneye ubora wa hali ya juu.
Rafiki unalalamika wakati hutoi hata senti mfukoni mwako, kwani hizo hela zinakuuma nini wewe? We tulia uone kikosi kimekamilika basi, masuala ya hela walaaa hayatakusaidiaMi naona km man u tumepoteza uwezo wa kufanya biashara ktk usajili na inabid kujipanga vema upya. Kwa mimi Mkhitaryan ni mchezaji mzuri,ila kumnunua mchezaji wa aina yake kwa euro 38mil huku akiwa amebakiza mwaka mmoja ktk mkataba wake ni matusi kwa Man u!
Kutumia hela nyingi kwa kila mchezaji kunaweza fanya timu ije kuyumba kiuchumi baadae,na ikishayumba itakosa uwezo wa kununua wachezaji wa kutengeneza kikosi kilichokamilika km ulivosema. Kwa sabab naipenda hyo timu napenda pia ikae muda mrefu sn ikiwa na nguvu kiuchumi ili niendelee kufurahi!Rafiki unalalamika wakati hutoi hata senti mfukoni mwako, kwani hizo hela zinakuuma nini wewe? We tulia uone kikosi kimekamilika basi, masuala ya hela walaaa hayatakusaidia
Mpira wa sasa ni pesa na kibaya zaidi siku hizi wachezaji wazuri wako wachache mno na ni ngumu kupata mchezaji wa kuchezea timu mmoja misimu mingi.Kama mchezaji yupo available na anataka kuchezea timu yako changamka kabla wengine hawajamuwahiMi naona km man u tumepoteza uwezo wa kufanya biashara ktk usajili na inabid kujipanga vema upya. Kwa mimi Mkhitaryan ni mchezaji mzuri,ila kumnunua mchezaji wa aina yake kwa euro 38mil huku akiwa amebakiza mwaka mmoja ktk mkataba wake ni matusi kwa Man u!
Daaa Morgan huwa naamini ni kiungo mzuri sn tena ni type ya wachezaji wa Mou, ila naamini hajapewa majukumu na muda wa kutosha kuonyesha kikubwa anachokiweza.Hii fujo ya usajili inayoendelea sasa Kuna viungo wawili huenda wakahama tetesi ni kwamba Dortumund wamekubali dau la Manchester United kwa Mikhitarian na Mourinho inaonekana anamtaka Pogba
Bastian,Carick,Morgan,Fellaini,Mata,Herrera,na Rooney hawa wote ni viungo so far (Carick,Rooney,Herrera,Fellaini ndio wana uhakika wa kubaki nahisi (Bastian na Morgan ) huenda wakaondoka
Naamini hajapewa muda na nafasi ya kutosha, akipewa atakuwa ni miongoni mwa wachezaji wetu bora. Anajua sana yule kijana!Sijui kwanini Herrera hafanyi vizuri pale ot?
Mi nadhani tatizo ni kwa yule mzee anayehusika na usajili "Ed Woodward" yule mzee hajui kufanya deals za uhakika na bado klabu imeendelea kumuamini tu! Na bila yule mzee kuondoka, tutashuhudia blunder kibao kwenye usajili. Ona alivyozembea kwa Renato Sanches yule dogo wa ureno aliyesaini bayern munchen.James kama namba 10 yuko vizuri lakini tuna namba 10 wengi sana. Wazza,Herrera,mata,etc. Madrid washatuona sie wa kutuuzia dropouts wao na sie tunaingia mkenge. Man utd inakosa nini hadi kuuziwa second hand wa madrid jamani?
Renato Sanches hakuwa chaguo la LVG ni chaguo la Jose Mourinho Na wakala wake ni Jorge Mendez (mshikaji wake Mourinho) .Man United,Bayern na Barcelona walianza kumfuatilia Sanches kwa muda mrefu , uamuzi wa kumfukuza LVG ulishafanywa siku nyingi lakini hawakumwambia walitaka hadi timu icheze fainali ya FA,LVG alikuwa anaamini atabaki kumalizia mkataba wake so ilikuwa ngumu kwa Man United kukamilisha usajili maana automaticaly wangekuwa wanatoa ishara kwamba LVG atafukuzwa.Benfica walitaka kumuuza kabla ya Euro maana walihofia Sanches hatachaguliwa kwenye kikosi cha Portugal cha Euro 2016 so baadae anaweza akakosa soko sababu timu nyingi zitatumia michuano ya Euro kutafuta wachezaji Bayern walitake advantage hapo wakamsajiliMi nadhani tatizo ni kwa yule mzee anayehusika na usajili "Ed Woodward" yule mzee hajui kufanya deals za uhakika na bado klabu imeendelea kumuamini tu! Na bila yule mzee kuondoka, tutashuhudia blunder kibao kwenye usajili. Ona alivyozembea kwa Renato Sanches yule dogo wa ureno aliyesaini bayern munchen.