Hizi zitunze kabsaaMpwa tukae hapa hapa kuna mengi tutayaona natamani hizi post niwe nazitunza,kuna pre-season fulani umu mlikua vurugu maana walivimba duh kilichotea mbele ni hadithi ya watu kukana post zao.
Sasa napata matumaini na klabu yangu pendwa kabsa ya Man utd
Welcome home Jose
Hata RVP alivyokuwa Arsenal tulimponda alivyotua United tukamsapoti .Hata akija Wenger tutamsapotiManure fans bwana. Akiwa chelshit you're trolling him like hell, leo imebidi mumsifu kuwa atawapa mafanikio. Siasa na sports bila unafiki....
Hata RVP alivyokuwa Arsenal tulimponda alivyotua United tukamsapoti .Hata akija Wenger tutamsapoti
Hahaaa tutaona mengi msimu huu ... so excited now days msije mkajikana baadaye
Hizi zitunze kabsaa
Ila mwakani tuna wapga nje ndani
Aiseee mtani kama sisi tutakuwa hatuna jipya yaani nyie ndo itakuwa zaidi aiseee.......napita tu mtaniUkiwa na maana na wewe utapigwa nje ndani kwenye Manchester derby?naona ni mwendo wa kukariri tubado nakumbuka pre-season alipigwa RM akafata Liverpool mkanyanyua ndoo hata jina nimelisahau duh amani ilitoweka umu,karibuni tena kwenye kelele zenu kama kawaida bado nasema after Sir Ferg hakuna jipya na mnahitaji muda anzia na The Choosen One,Master Tactics na The special one soon mtafanana na wale kwa timuatimua.
Hongereni kwa Mourinho na hongereni kwa kuanza maisha mapya ya matumaini tofauti na jana.
Ukiwa na maana na wewe utapigwa nje ndani kwenye Manchester derby?naona ni mwendo wa kukariri tubado nakumbuka pre-season alipigwa RM akafata Liverpool mkanyanyua ndoo hata jina nimelisahau duh amani ilitoweka umu,karibuni tena kwenye kelele zenu kama kawaida bado nasema after Sir Ferg hakuna jipya na mnahitaji muda anzia na The Choosen One,Master Tactics na The special one soon mtafanana na wale kwa timuatimua.
Hongereni kwa Mourinho na hongereni kwa kuanza maisha mapya ya matumaini tofauti na jana.
Aiseee mtani kama sisi tutakuwa hatuna jipya yaani nyie ndo itakuwa zaidi aiseee.......napita tu mtani
Ahhahahaha mtani mifano mingine siyo bana ,kwani mm sikucheza UEFA si umenizidi padogo tu nikatoka Leo ww kesho ukatoka kama ulivyosema hatuna utofauti ila aiseee mimi Nina kaafadhali sana kuliko Mwenzangu na mm sabb zinaeleweka km ulivyosema haya wewe jirani sabb zako Nini?Mtani tofauti yetu ni mitaa ingawa ni majirani,toka babu asepe lini haujaishi kwa presha ndio wote EPL tunaishia kuiona kwa wenzetu ila mwenzangu kuna vingi unakosa mfn UCL spot kwako ni kama kuisaka bikra uswahilini na kila game kwako mashaka.
Natamani msimu uanze jirani tuna mengi ya kuzungumza
Eddy wangu weeeee sasa Baba keshamleta mama mwingine unataka nipingane na baba nikose ada? Mimi nahitaji bado sapoti ya baba ndo kwanza niko form one baba ndo mambo yote kwangu nimpinge mawazo yake halafu niishie kuwa mtoto omba omba ? Sina jinsi ya kutomkubali,km niliweza kuwakubali kina Asha ngedere life likasonga basi hata kina Kim nitawasapot tu mimi nachohitaji ni furaha ya tumbo langu lishibe,elimu nipate hayo mengine baba atajiju na mizigo yake, halafu mwisho wa siku ujue baba ananihitaji sana ili mambo yake yanafikiwe.........wacha movie iendeleeeee tutafika tu...... dady #IneedonlyPreMiuMcup this time if u want to give me more its okey,fine........Welcome Jozee Mourinho at OT .......... #GGMU
Kwema kaka?Mtani tofauti yetu ni mitaa ingawa ni majirani,toka babu asepe lini haujaishi kwa presha ndio wote EPL tunaishia kuiona kwa wenzetu ila mwenzangu kuna vingi unakosa mfn UCL spot kwako ni kama kuisaka bikra uswahilini na kila game kwako mashaka.
Natamani msimu uanze jirani tuna mengi ya kuzungumza