Machester united is a winning teamHiyo ya £4M+ si imekatwa e eeeh? According to mkataba ni £8M+,hajatufikisha top four kalambwa nusu yote, poleeee LVG ...
jiandae kushindia maharage week nzima, hela za saloon mapema anza kuweka booking kwa mchepuko, mnaishi zizi moja ama yeye yupo mbali nauliza tu maana
Huyu aliyewaitaga Chelsea watoto zitaiva kweli
TETESI: Zlatan Ibrahimovic kutua Old Trafford kama kocha msaidizi wa Mourinho
Zlatan Ibrahimovic yupo mbioni kutua Manchester United kuwa kocha msaidizi wa Jose Mourinho anayetarajiwa kuwa meneja wa klabu hiyo kwa mujibu wa chanzo cha Sweden Aftonbladet.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Sweden ataondoka Paris Saint-Germain majira haya ya joto na Manchester United ndio wanaopewa nafasi kubwa kuipata saini yake.
Kama habari hizi ni za kuaminika Ibrahimovic atakuwa moja ya wakufunzi katika benchi la ufundi litakalokuwa chini ya Jose Mourinho.
TOA MAONI YAKO
Yaah!tumpe muda kabla ya kumuhukumu hapo tupo pamoja.Aiseeee ulibaki wewe kutokea hapa karibu sana..... tusihukumu sana pengine atatuprove wrong na usisahau tuna vigezo na masharti yetu atanyooka tu.....
AaahNext Season
Huyu aliyewaitaga Chelsea watoto zitaiva kweli.... Giggs anatakiwa abaki kwa gharama yoyote Ile huyu anatakiwa kuwa our future coach ............ hapo kwa Zlatan sijapenda sana.......... kama itakuwa hivyo Basi no way..
Sasa huyu anamzidi nini Giggs....
TETESI: Zlatan Ibrahimovic kutua Old Trafford kama kocha msaidizi wa Mourinho
Zlatan Ibrahimovic yupo mbioni kutua Manchester United kuwa kocha msaidizi wa Jose Mourinho anayetarajiwa kuwa meneja wa klabu hiyo kwa mujibu wa chanzo cha Sweden Aftonbladet.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Sweden ataondoka Paris Saint-Germain majira haya ya joto na Manchester United ndio wanaopewa nafasi kubwa kuipata saini yake.
Kama habari hizi ni za kuaminika Ibrahimovic atakuwa moja ya wakufunzi katika benchi la ufundi litakalokuwa chini ya Jose Mourinho.
TOA MAONI YAKO
Muda wa tetesi umeanza. Tutasikia mengi kuhusu man u.

Kocha alie ifikisha team nafasi ya 5 akabeba na FA anafukuzwa ana ajiliwa Kocha alieiacha team nafasi ya 16 teh teh huu ndo mpr bana una falsafa zake ukizichambua ukiwa na akili za kitwanga lazima uumbuke
Hahahaha dah he is so romantic ma bro in law, anajuwa kucheza na hisia zako vizuri,ila uzuri hana ushabiki wa kivileeee Yeye muziki sana kama sasahivi ndo kaitupa kabisa kasema eti ushabiki wa damu nauweza miye, Juzi kanichekesha eti ligi imeisha ngoja niivae jezi yangu,hiyo Jezi nilimpa zawadi last season walivyoshinda Basi niliichapa jina lake anasema angalau hii inanifariji....... nitamuhamisha ahamie Man U
Hahaaaaa sawa mkaanga sumu3 ngapi vileeee???? Nikumbushe mkuu.
Hahaaaaa hongereni kwa kuongeza kombe, na kubadili avatarHahahhaha karibu mtani Leo no wine no chochote Leo ni smoothie ya tende,korosho na maziwa taratiiibu tunachukua kombe letu la FA......vipi Klop must go or stay in?
Mkuu unabahati hongereni kwa kombeHahahaaaaa tunashinda Mkuu japo tunagundu sana na hii jezi nyeupe kwenye fainali