feeling is mutual,Hahaha unajua LVG alikuwa ananiboa sana kwa blunders zake unforgivable one,kuanzia kwenye team selection,subs,na tactics kwa hyo roho ilikuwa inaniuma sana kuendelea kuijadili man u iliyo chini yake,ila kwa leo kombe ndo ilikuwa priority ya kwanza,we are glad ametuwezesha hlo japo kwa tabu sana,sasa ni wakati wake ahame na kuondoka kwa hiari.
#We are partying till down GGMU.