Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie ilikua miaka Tisa bila kombe, that's why ikaonekana kama ni small achievement
Hiyo sio point. Point ni je FA cup ni kombe la kucelebrate? Mlitusema sana baada ya kuwagonga Hull City leo mmewafunga Palace kindondokela (ref: the equalizing goal) mna throw pompoms na matarumbeta kibao..
 
Arsenal 12
United 12 that's all I know, unakumbuka banter zako enzi zileeeee unasema no Manchester utd player mwenye FA cup medal? Sasa kila mmoja anayo
 
Hiyo sio point. Point ni je FA cup ni kombe la kucelebrate? Mlitusema sana baada ya kuwagonga Hull City leo mmewafunga Palace kindondokela (ref: the equalizing goal) mna throw pompoms na matarumbeta kibao..
Watu Wa Arsenal bhana, naenda kulala na demu Wa shabiki mwenzio...

Hahahaaa! Maneno yenu
 
Nani kakwambia FA cup England ni sawa na kombe la kuku?
FA ndo michuano mikongwe zaidi ulimwenguni ikiwa na umri wa zaidi ya miaka 137.
Mkuu,watch your mouth.

United hureeeeeeeeeeeeeeeee

Mkuu huoni wakaanga sumu wamekuja na maneno ya kombe la mbuzi??? Nilikuwa nawaambia waseme yote lakini kombe tumebeba.....
 
Nilikamiss haka kakombe jamani acha tu.........aaaaahhhhhh ........Nothing more zaid ya meno yote nje........
Mtani hongeraaaaaaaaa mimi nilishangaa mashabiki mmebana pumzi tafikiri hamkujuwa vile kama kombe ni lenu next time mjiamini sawa, hahahah dalili za ushindi zilikuwa ni chanya kabla hata ya match kwa kurudisha heshima ya club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…