Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watyuuuuuuuuu wweeeeeeeeeeeeeeee yaani Thank you God Hakika umenisikia ..... ...yaani Smalling alovyokula red nusura nizimie hadi Shemeji yaani akanifokea ushabiki gani huo wa kufa,lilipoingia goal weeeeeeee yaani nimeruka balaaaa ..... ......Thanks Man U.....GGMU
 
Dah hold on ...umenikumbusha wimbo wa phil collins ....wa "hold on my heart" ukipata muda utafute youtube.
Hold on my heart
just hold on to that feeling
we both know we've been here before we both know what can happen So hold on my heart


Hahahaaaaa ndio nyimbo zangu hizi sister, namuelewa sana huyu kikongwe aisee
 
Mkuu si unajua tukishaanza kuzoea kubeba haya makombe ndio nitolee tena EPL.... UCL...FA Cup

Hahaha tulipolibeba mlisema FA Cup sio kombe la kushangilia, leo imekuwaje?

UCL kuna mitaa ya London halijawahi kufika lol... au ulikuwa una maanisha Emirates Cup lol

umesahau UCL litarudi nyumbani msimu ujao hahahaha.
 
Msimu ujao mtagombania Relegation survivor kama Chelsea walivyofanya msimu huu.
 
Mlikuwa mnatia huruma baada ya kuikosa UEFA 2016/2017 lakini pamoja na ushindi huu kwa maoni yangu LVG ni wa kutimua tu hastahili kurudi.
 
Leoo bhana kuna jamaa Wa Arsenal kaweka demu wake bondi....


Ngoja nile konyagi zangu hapa dry , Van gal akilala na Kombe Mimi nalala na demu Wa shabiki Wa Arsenal .....


Leteeeeeee leteeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…