Kwendraaaaaaaaaaaaaa........lazima kombe lije OT.Don't give them false hopes...unless you are just being disingenuous.
Huyu Lindgard hakuna alichofanya tangu aingie
Roho mbaya tuMan u ni kama gari bovu lililofikia stage kua hata mafundi garage "Makenika" wakikuona unakuja nalo garage wanakukimbia..
Yaani hapa nimebana inakaribia kuvimba acha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Palace hawana chance ya kubeba kombe hapa. Wanacheza kiuoga, inaelekea wamechoka wanasubiri mikwaju ya penati.