Hahahhaha karibu mtani Leo no wine no chochote Leo ni smoothie ya tende,korosho na maziwa taratiiibu tunachukua kombe letu la FA......vipi Klop must go or stay in?sina uhakika hawa 'wenzetu' ninao wafikiria ndiyo unaowamaanisha ..... ila potelea pote LVG MUST STAY lol
Yaani tokea siku ile ndo leo kajitokeza JF.........Mambo pouwa mpenzi,za siku mingi ?Msumbufu sana. Waliliajeeeee.
Mamy mambo
Salama mamaangu. Nilimiss humu ndani kweli. Hahahaaaa kajitokeza siku mbaya amekutana Na mimi.Yaani tokea siku ile ndo leo kajitokeza JF.........Mambo pouwa mpenzi,za siku mingi ?
Na nusu....Hivi ni saa moja kamili au na nusu?
Hahahaaaaa tunashinda Mkuu japo tunagundu sana na hii jezi nyeupe kwenye fainalimkuu msiposhinda leo nitakuja kui-quote vizuri
Karibu Tena.........hahhahahhahha Leo sababu anajua tunacheza basi Ana usongo na sisi kweli.Salama mamaangu. Nilimiss humu ndani kweli. Hahahaaaa kajitokeza siku mbaya amekutana Na mimi.
Whaaat kumbe Cabaye na Jedinak wapo....!!!! #uRdeadLeo crystal palace hawana namna, zaidi ya kukubali kichapo
Everlenk rushaford martial...Karibu Tena.........hahhahahhahha Leo sababu anajua tunacheza basi Ana usongo na sisi kweli.
Na nusu....
Why Gayle yuko bench. Man walitakiwa walale mapema sana. Hopefully yanick bolasie atatubeba leo
Leo tuu. England mi nashabikia blackburn roversMkuu unashabikia Crystal Palace siku zote au ni leo tuu?