Mkuu upo?
Man Utd inaundwa upya ni timu nzuri tu watu wanaongea lakini huyu mzee LVG anawasukia timu bomba sana.
Chris Smalling ame-improve sana na ukiangalia stats Man Utd haijafungwa goli nyingi sana msimu huu.
Ila hawatampa pesa nyingi safari hii lakini watanunua baadhi ya wachezaji.